Kinaga cha Para

Kinaga ya Para (pia Kijejara) ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Myanmar inayozungumzwa na Wanaga. Mwaka wa 2004 idadi ya wasemaji wa Kinaga ya Para imehesabiwa kuwa watu 1500. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kinaga ya Para iko katika kundi la Kisal.


From Wikipedia, the free encyclopedia · View on Wikipedia

Developed by Tubidy